HOSPITALI YA WILAYA YA BUCHOSA
Hospitali ya wilaya Buchosa
Inahudumia wakazi wa buchosa wapatao 327,767 kata 21,vijiji 82 na vitongoji 410.Pia inahudumu kama rufaa kwa vituo vya afya na zahanati 35.
Hospitali inahudumu kata zifuatazo
Bangwe,Bugoro ,Buhama ,Bukokwa ,Bulyaheke,Bupandwa , lligamba ,Irenza ,Kafunzo ,
Kalebezo ,Kasisa ,Katwe ,Kazunzu ,Lugata ,
Luharanyonga ,Maisome ,Nyakaliro ,Nyakasasa ,Nyakasungwa ,Nyanzenda ,Nyehunge
Comments
Post a Comment