AFISA MASOKO MWANZA
NAFASI ZA KAZI
AFISA MASOKO
Vigezo
-awe mkazi wa mwanza
-Elimu ya form four
-Awe ana jua kusoma na kuandika
-Awe ana uwezo wa kujieleza na kuongea na wateja
-Awe mkazi wa mwanza mjini Buhongwa,Igoma au kisesa au sehemu zilizo karibu na hizo
Jinsi ya kutuma
maombi yatumwe kwene email: enatmedics@gmail.com
Ukiambatanisha na wadhamini wawili pia barua ipitie kwa mwenye kiti wa mtaa unaoishi
Comments
Post a Comment